Loading...

Kuhusu Gazeti La Enendeni

Ni gazeti la kimisionari, lililosajiliwa na Idara ya Habari, Dar Es Salaam, tarehe 12 Machi, 2007. Mkurugenzi wa kwanza kabisa alikuwa padri Gian Treglia. Lakini mapadri Salutaris Massawe, Francesco Bernardi, Paulino Madeje na Michael Mille na wamefanya kazi pia katika gazeti hilo....

Soma zaidi...
Made with 💗 by
©2024